Haturuhusu kabisa kudownload kupitia nje ya app .Kwa yeyote anayetaka kudownload kudownload kwa njia computer itamlazimu kulipia na kuungwa GOLDMEMBER ili kupatiwa link itakayomuwezesha kutumia kwenye computer.Kwa miendelezo na mpya za wiki utapata link kila j3 kwa kulipia group la GOLDMEMBER na utapatiwa link zote kwa mwezi mzima.
MIENDELEZO&MPYA MOVIE/SEASON
*Lipia 5000 kwa mwezi ili kuungwa group la GOLDMEMBER whatsapp na utapatiwa link zote kila juma tatu saa 3/4 asubuhi kwa mwezi mzima.Kwenye app zitaanza kuwekwa j4 saa 5 kwa muda maalumu.
*Ikitokea umekosa movie/season fulani au kumisi/kuruka katika App husika jua hatuna ivyo usisumbuke kutuuliza Hatunaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
*Kumbuka kwa kupewa link yoyote bado utahitajika kutumia MB zako kudownload au kuangalia online.
*Hakikisha kabla hujaanza kupakua movie/season kifaa chako kina mtandao(network) nzuri walau 3g/h+au 4g ni bora zaidi.
*Hakikisha kifaa chako kina nafasi wazi yakutosha (free space) ili kuweza kuhifadhi (save) file husika (movie/season)
*Hakikisha uko na MB Zakutosheleza kupakua file husika
*Unashauriwa kutumia ucbrowser kupakua
*Unashauriwa kupakuwa wakati tulivu bila jam hasa usiku
@Pakua App Ya Seasoni Zilizotafsiriwa Kiswahili Hapa
@Pakua App Ya Single Movie Zilizotafsiri Kiswahili Hapa
@Pakua App Ya Single Movie Zisizotafsiriwa Zenye English Subtitle HD MKV
@Pakua App Ya Kusoma Simulizi/Hadithi Kiswahili
KWA SUALA LOLOTE KUHUSIANA NA NILIYOELEZA HAPO JUU NICHEK WHATSAPP KWA KITUFE HAPO CHINI.